37 : 129
وَتَرَكۡنَا عَلَيۡهِ فِي ٱلۡأٓخِرِينَ
Na tumemwachia (sifa nzuri) kwa walio kuja baadaye.
Explanation & meanings · 1
- Na tukamjaalia awe anatajwa kwa wema na ndimi za walio kuja baada yake.
وَتَرَكۡنَا عَلَيۡهِ فِي ٱلۡأٓخِرِينَ
Na tumemwachia (sifa nzuri) kwa walio kuja baadaye.