37 : 108
وَتَرَكۡنَا عَلَيۡهِ فِي ٱلۡأٓخِرِينَ
Na tukamwachia (sifa njema) kwa watu walio kuja baadaye.
Explanation & meanings · 1
- Na tukaacha atajike kwa sifa nzuri katika ndimi za walio kuja baada yake.
Aya 108 of الصَّافَات (37 : 108). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
وَتَرَكۡنَا عَلَيۡهِ فِي ٱلۡأٓخِرِينَ
Na tukamwachia (sifa njema) kwa watu walio kuja baadaye.