Skip to content
الصَّافَات /

Aya 106

37 : 106
الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 106

إِنَّ هَٰذَا لَهُوَ ٱلۡبَلَٰٓؤُاْ ٱلۡمُبِينُ

Hakika haya ni majaribio yaliyo dhaahiri.

Explanation & meanings · 1
  1. Hakika majaribio haya tuliyo mjaribia Ibrahim na mwanawe bila ya shaka ni majaribio yaliyo dhihirisha undani wa Imani yao na yakini yao kwa Mola Mlezi wa walimwengu.