Skip to content
الصَّافَات /

Aya 103

37 : 103
الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 103

فَلَمَّآ أَسۡلَمَا وَتَلَّهُۥ لِلۡجَبِينِ

Basi wote wawili walipo jisalimisha, na akamlaza juu ya kipaji.

Explanation & meanings · 1
  1. Yule baba na mwanawe walipo iridhia hukumu ya Mwenyezi Mungu, na akamweka juu ya fungu la mchanga na akamlaza juu yake, kipaji chake kikawa juu ya ardhi, akawa tayari kumchinja.