36 : 24
إِنِّيٓ إِذٗا لَّفِي ضَلَٰلٖ مُّبِينٍ
Basi hakika mimi hapo nitakuwa katika upotovu ulio dhaahiri.
Explanation & meanings · 1
- Basi hakika mimi nikiiabudu miungu mingine badala yake Yeye, nitakuwa katika upotovu ulio dhaahiri.
Aya 24 of يسٓ (36 : 24). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
إِنِّيٓ إِذٗا لَّفِي ضَلَٰلٖ مُّبِينٍ
Basi hakika mimi hapo nitakuwa katika upotovu ulio dhaahiri.