35 : 23 إِنۡ أَنتَ إِلَّا نَذِيرٌ Hukuwa wewe ila ni mwonyaji. 23Hide explanation (1)Explanation & meanings · 123Wewe huna jukumu ila la kufikisha Ujumbe na kuonya tu.