Skip to content
الأحزَاب /

Aya 47

33 : 47

Aya 47 of الأحزَاب (33 : 47). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الأحزَاب Aya 73
Sura · الأحزَاب
Kiswahili · Barawani
33 : 47

وَبَشِّرِ ٱلۡمُؤۡمِنِينَ بِأَنَّ لَهُم مِّنَ ٱللَّهِ فَضۡلٗا كَبِيرٗا

Na wabashirie Waumini ya kwamba wana fadhila kubwa inayo toka kwa Mwenyezi Mungu.

Explanation & meanings · 1
  1. Na wabashirie Waumini kwamba watapata kheri kubwa ya kuzidi katika dunia na Akhera.