Skip to content
آل عِمران /

Aya 25

3 : 25

Aya 25 of آل عِمران (3 : 25). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

آل عِمران Aya 200
Sura · آل عِمران
Kiswahili · Barawani
3 : 25

فَكَيۡفَ إِذَا جَمَعۡنَٰهُمۡ لِيَوۡمٖ لَّا رَيۡبَ فِيهِ وَوُفِّيَتۡ كُلُّ نَفۡسٖ مَّا كَسَبَتۡ وَهُمۡ لَا يُظۡلَمُونَ

Basi itakuwaje tutakapo wakusanya Siku ambayo haina shaka kuja kwake? Na kila nafsi italipwa kama ilivyo chuma, bila ya kudhulumiwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Basi itakuwaje hali yao wakati atapo wakusanya Mwenyezi Mungu Siku ya Akhera, ambayo hapana shaka kuwapo kwake, na kuwa kutakuwapo kuhisabiwa. Basi kila nafsi itapewa malipo yake ya kutosha. Na wao wanastahili kupata hiyo adhabu ya Jahannamu watakayo ipata.