Skip to content
الشعراء /

Aya 81

26 : 81
الشعراء Aya 227
Sura · الشعراء
Kiswahili · Barawani
26 : 81

وَٱلَّذِي يُمِيتُنِي ثُمَّ يُحۡيِينِ

Na ambaye atanifisha, na kisha atanihuisha.

Explanation & meanings · 1
  1. Na Yeye ndiye atanifisha ikifika ajali yangu, na tena atanihuisha mara nyengine kwa ajili ya hisabu na malipo.