Skip to content
الشعراء /

Aya 72

26 : 72
الشعراء Aya 227
Sura · الشعراء
Kiswahili · Barawani
26 : 72

قَالَ هَلۡ يَسۡمَعُونَكُمۡ إِذۡ تَدۡعُونَ

Akasema: Je! Yanakusikieni mnapo yaita?

Explanation & meanings · 1
  1. Ibrahim akasema: Kwani yanasikia madua yenu? Au yanakuitikieni mnapo yaomba? Kwa hayo anakusudia kuwanabihisha upotovu wa mwendo wao.