Skip to content
الشعراء /

Aya 70

26 : 70

Aya 70 of الشعراء (26 : 70). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الشعراء Aya 227
Sura · الشعراء
Kiswahili · Barawani
26 : 70

إِذۡ قَالَ لِأَبِيهِ وَقَوۡمِهِۦ مَا تَعۡبُدُونَ

Alipo mwambia baba yake na kaumu yake: Mnaabudu nini?

Explanation & meanings · 1
  1. Alipo mwambia baba yake: Mnaabudu kitu gani hichi, ambacho hakifai kuabudiwa? Anakusudia kwa hayo kuyakebehi masanamu.