Skip to content
الشعراء /

Aya 53

26 : 53
الشعراء Aya 227
Sura · الشعراء
Kiswahili · Barawani
26 : 53

فَأَرۡسَلَ فِرۡعَوۡنُ فِي ٱلۡمَدَآئِنِ حَٰشِرِينَ

Basi Firauni akawatuma mijini wapiga mbiu za mgambo.

Explanation & meanings · 1
  1. Firauni akawatuma askari wake katika miji ya mamlaka yake, wawakusanye wenye maguvu katika kaumu yake, alipo jua kuwa Musa kesha toka na Wana wa Israili, ili awazuie lile walilo kusudia.