Skip to content
الشعراء /

Aya 47

26 : 47
الشعراء Aya 227
Sura · الشعراء
Kiswahili · Barawani
26 : 47

قَالُوٓاْ ءَامَنَّا بِرَبِّ ٱلۡعَٰلَمِينَ

Wakasema: Tunamuamini Mola Mlezi wa walimwengu wote.

Explanation & meanings · 1
  1. Wakasema ili kutia mkazo kule kusujudu kwao kwa kauli yao: Tunamuamini Mola Mlezi wa walimwengu wote.