Skip to content
الشعراء /

Aya 39

26 : 39
الشعراء Aya 227
Sura · الشعراء
Kiswahili · Barawani
26 : 39

وَقِيلَ لِلنَّاسِ هَلۡ أَنتُم مُّجۡتَمِعُونَ

Na watu wakaambiwa: Je! Mtakusanyika?

Explanation & meanings · 1
  1. Na watu wakahimizana kuhudhuria siku hiyo waone ramsa wakiambizana: Mtakusanyika? Yaani ndio: Mkusanyike!