Skip to content
الشعراء /

Aya 199

26 : 199
الشعراء Aya 227
Sura · الشعراء
Kiswahili · Barawani
26 : 199

فَقَرَأَهُۥ عَلَيۡهِم مَّا كَانُواْ بِهِۦ مُؤۡمِنِينَ

Na akawasomea, wasingeli kuwa wenye kuamini.

Explanation & meanings · 1
  1. Na angeli wasomea baraabara kinyume na ada bado wangeli mkanusha, na wakapatia kisababu kwa ukafiri wao.