Skip to content
الشعراء /

Aya 11

26 : 11

Aya 11 of الشعراء (26 : 11). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الشعراء Aya 227
Sura · الشعراء
Kiswahili · Barawani
26 : 11

قَوۡمَ فِرۡعَوۡنَۚ أَلَا يَتَّقُونَ

Watu wa Firauni. Hawaogopi?

Explanation & meanings · 1
  1. Nenda kwa kaumu ya Firauni; kwani hao wamepita mipaka katika dhulma yao. Ama ajabu ya watu hawa! Hawaogopi nini litalo wafika kwa vitendo vyao hivi, wakatahadhari?