Skip to content
الشعراء /

Aya 108

26 : 108
الشعراء Aya 227
Sura · الشعراء
Kiswahili · Barawani
26 : 108

فَٱتَّقُواْ ٱللَّهَ وَأَطِيعُونِ

Basi Mcheni Mwenyezi Mungu, na nit'iini mimi.

Explanation & meanings · 1
  1. Basi mkhofuni Mwenyezi Mungu, na fuateni amri yangu katika hayo ninayo kuitieni kwayo ya kumuamini Mwenyezi Mungu wa pekee na kumt'ii.