Skip to content
الشعراء /

Aya 102

26 : 102
الشعراء Aya 227
Sura · الشعراء
Kiswahili · Barawani
26 : 102

فَلَوۡ أَنَّ لَنَا كَرَّةٗ فَنَكُونَ مِنَ ٱلۡمُؤۡمِنِينَ

Laiti tungeli pata kurejea tena tungeli kuwa katika Waumini.

Explanation & meanings · 1
  1. Basi hapo ndio wanajitamania nafsi zao lau wangeli rejea duniani wapate kuwa Waumini ili waokoke.