Skip to content
الشعراء /

Aya 100

26 : 100
الشعراء Aya 227
Sura · الشعراء
Kiswahili · Barawani
26 : 100

فَمَا لَنَا مِن شَٰفِعِينَ

Basi hatuna waombezi.

Explanation & meanings · 1
  1. Basi hapana wa kuombwa akaja kutuvua na adhabu hii kama tulivyo dhania pale kwanza.