Skip to content
الفُرقَان /

Aya 64

25 : 64

Aya 64 of الفُرقَان (25 : 64). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الفُرقَان Aya 77
Sura · الفُرقَان
Kiswahili · Barawani
25 : 64

وَٱلَّذِينَ يَبِيتُونَ لِرَبِّهِمۡ سُجَّدٗا وَقِيَٰمٗا

Na wale wanao kesha kwa ajili ya Mola wao Mlezi kwa kusujudu na kusimama.

Explanation & meanings · 1
  1. Na wale ambao wanakesha katika ibada na Sala, wakimdhukuru Mwenyezi Mungu kwa wingi.