Skip to content
المؤمنُون /

Aya 65

23 : 65
المؤمنُون Aya 118
Sura · المؤمنُون
Kiswahili · Barawani
23 : 65

لَا تَجۡـَٔرُواْ ٱلۡيَوۡمَۖ إِنَّكُم مِّنَّا لَا تُنصَرُونَ

Msiyayatike leo! Hakika nyinyi hamtanusurika nasi.

Explanation & meanings · 1
  1. Basi tunawaambia: Msiyayatike, wala msiombe msaada hivi sasa. Hamtatoka ndani ya adhabu yangu, wala kuyayatika kwenu hakufai kitu.