Skip to content
الحج /

Aya 49

22 : 49
الحج Aya 78
Sura · الحج
Kiswahili · Barawani
22 : 49

قُلۡ يَٰٓأَيُّهَا ٱلنَّاسُ إِنَّمَآ أَنَا۠ لَكُمۡ نَذِيرٞ مُّبِينٞ

Sema: Enyi watu! Hakika mimi ni mwonyaji kwenu niliye dhaahiri.

Explanation & meanings · 1
  1. Ewe Nabii! Waambie hao wanao kanusha, wanao kuhimiza waletewe adhabu: Sio kazi yangu mimi kukulipeni kwa vitendo vyenu. Bali hakika mimi ni mwenye kukuhadharisheni kwa hadhari iliyo wazi kwamba kuna adhabu. Na Mwenyezi Mungu ndiye wa kukuhisabuni na kukulipeni.