Skip to content
الأنبيَاء /

Aya 86

21 : 86

Aya 86 of الأنبيَاء (21 : 86). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الأنبيَاء Aya 112
Sura · الأنبيَاء
Kiswahili · Barawani
21 : 86

وَأَدۡخَلۡنَٰهُمۡ فِي رَحۡمَتِنَآۖ إِنَّهُم مِّنَ ٱلصَّٰلِحِينَ

Na tukawaingiza katika rehema yetu. Hakika wao walikuwa katika watu wema.

Explanation & meanings · 1
  1. Na tukawajaalia miongoni mwa watu wa kupata rehema yetu. Hakika hao ni katika waja wetu wema.