21 : 53
قَالُواْ وَجَدۡنَآ ءَابَآءَنَا لَهَا عَٰبِدِينَ
Wakasema: Tumewakuta baba zetu wakiyaabudu.
Explanation & meanings · 1
- Wakasema: Tumewakuta baba zetu wakiyatukuza na wameshika kuyaabudu. Nasi tukawafuata.
Aya 53 of الأنبيَاء (21 : 53). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
قَالُواْ وَجَدۡنَآ ءَابَآءَنَا لَهَا عَٰبِدِينَ
Wakasema: Tumewakuta baba zetu wakiyaabudu.