Skip to content
الأنبيَاء /

Aya 38

21 : 38

Aya 38 of الأنبيَاء (21 : 38). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الأنبيَاء Aya 112
Sura · الأنبيَاء
Kiswahili · Barawani
21 : 38

وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا ٱلۡوَعۡدُ إِن كُنتُمۡ صَٰدِقِينَ

Na wanasema: Ahadi hii itatokea lini, ikiwa nyinyi mnasema kweli?

Explanation & meanings · 1
  1. Na makafiri wanaohimiza adhabu, na huku wanaona haiwi, wanasema: Lini yatakuwa hayo munatuahidi enyi Waumini kama kweli hayo muyasemayo