20 : 83 ۞ وَمَآ أَعۡجَلَكَ عَن قَوۡمِكَ يَٰمُوسَىٰ Na nini kilichokutia haraka ukawaacha watu wako, ewe Musa?