Skip to content
البَقَرَة /

Aya 6

2 : 6
البَقَرَة Aya 286
Sura · البَقَرَة
Kiswahili · Barawani
2 : 6

إِنَّ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ سَوَآءٌ عَلَيۡهِمۡ ءَأَنذَرۡتَهُمۡ أَمۡ لَمۡ تُنذِرۡهُمۡ لَا يُؤۡمِنُونَ

Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini.

Explanation & meanings · 1
  1. Hii ndiyo hali ya waongofu. Ama wajinga, majaahili, walio acha kujitayarisha kwa Imani kwa mapuuza na kufanya inda, wasimwitikie Mwenyezi Mungu, basi ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye.