Skip to content
البَقَرَة /

Aya 242

2 : 242
البَقَرَة Aya 286
Sura · البَقَرَة
Kiswahili · Barawani
2 : 242

كَذَٰلِكَ يُبَيِّنُ ٱللَّهُ لَكُمۡ ءَايَٰتِهِۦ لَعَلَّكُمۡ تَعۡقِلُونَ

Namna hivi anakubainishieni Mwenyezi Mungu Aya zake ili mpate kufahamu.

Explanation & meanings · 1
  1. Mwenyezi Mungu anakubainishieni hukumu zake, na neema zake, na Aya zake, kwa mfano wa bayana hizi na Sharia hizi zilizo wazi zenye kuleta maslaha, ili mpate kuzingatia na mpate kutenda yaliyo kheri.