Skip to content
الكَهف /

Aya 92

18 : 92
الكَهف Aya 110
Sura · الكَهف
Kiswahili · Barawani
18 : 92

ثُمَّ أَتۡبَعَ سَبَبًا

Kisha akaifuata njia.

Explanation & meanings · 1
  1. Kisha akaendelea vile vile akitumia mbinu alizo msahilishia Mwenyezi Mungu za kumpa tawfiki, akishika njia baina ya mashariki na magharibi.