18 : 89
ثُمَّ أَتۡبَعَ سَبَبًا
Kisha akaifuata njia.
Explanation & meanings · 1
- Kisha Dhul-Qarnaini akaendelea vile vile huku akiomba tawfiki ya Mwenyezi Mungu, na akafuata njia ya kufikilia matokea jua upande wa mashariki.
ثُمَّ أَتۡبَعَ سَبَبًا
Kisha akaifuata njia.