18 : 69
قَالَ سَتَجِدُنِيٓ إِن شَآءَ ٱللَّهُ صَابِرٗا وَلَآ أَعۡصِي لَكَ أَمۡرٗا
Akasema: Inshaallah, Mwenyezi Mungu akipenda, utaniona mvumilivu, wala sitoasi amri yako.
Explanation & meanings · 1
- Musa akasema: Inshallah, Mwenyezi Mungu akipenda, utaniona mimi ni mwenye kusubiri, na mt'iifu kwako kwa yote utayo niamrisha.