Skip to content
الكَهف /

Aya 58

18 : 58

Aya 58 of الكَهف (18 : 58). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الكَهف Aya 110
Sura · الكَهف
Kiswahili · Barawani
18 : 58

وَرَبُّكَ ٱلۡغَفُورُ ذُو ٱلرَّحۡمَةِۖ لَوۡ يُؤَاخِذُهُم بِمَا كَسَبُواْ لَعَجَّلَ لَهُمُ ٱلۡعَذَابَۚ بَل لَّهُم مَّوۡعِدٞ لَّن يَجِدُواْ مِن دُونِهِۦ مَوۡئِلٗا

Na Mola wako Mlezi ni Msamehevu Mwenye rehema. Lau angeli wachukulia kwa mujibu waliyo yachuma, bila ya shaka angeli wafanyia haraka kuwaadhibu. Lakini wanayo miadi ambayo hawatapata makimbilio yoyote ya kuepukana nayo.

Explanation & meanings · 1
  1. Na Mola wako Mlezi Mtukufu Mwingi wa kusamehe makosa ya waja wake, Mwenye rehema kunjufu kwa mwenye kumuelekea, lau angeli penda kuwatwaa kwa maovu wayatendayo basi angeli wapatiliza upesi upesi kama alivyo kwisha watangulizia wenginewe. Lakini hii ni hikima yake aliyo ikadiria. Anawaakhirisha mpaka ufike wakati atapo waonjesha adhabu kali kabisa. Na hapo hawatopata pa kukimbilia na kuwalinda.