Skip to content
الكَهف /

Aya 43

18 : 43
الكَهف Aya 110
Sura · الكَهف
Kiswahili · Barawani
18 : 43

وَلَمۡ تَكُن لَّهُۥ فِئَةٞ يَنصُرُونَهُۥ مِن دُونِ ٱللَّهِ وَمَا كَانَ مُنتَصِرًا

Wala hakuwa nacho kikundi cha kumsaidia badala ya Mwenyezi Mungu, wala mwenyewe hakuweza kujisaidia.

Explanation & meanings · 1
  1. Katika balaa hii hakuwa na jamaa wa kuja mnusuru badala ya Mwenyezi Mungu kama alivyo kuwa akijitapa. Wala hakuwa anaweza kujisaidia nafsi yake.