Skip to content
الكَهف /

Aya 100

18 : 100
الكَهف Aya 110
Sura · الكَهف
Kiswahili · Barawani
18 : 100

وَعَرَضۡنَا جَهَنَّمَ يَوۡمَئِذٖ لِّلۡكَٰفِرِينَ عَرۡضًا

Na siku hiyo tutawadhihirishia wazi Jahannamu makafiri waione.

Explanation & meanings · 1
  1. Na hapo Mwenyezi Mungu atawaonyesha wazi makafiri Jahannamu iwatie kitisho na awatumbukize humo.