Skip to content
الإسرَاء /

Aya 43

17 : 43
الإسرَاء Aya 111
Sura · الإسرَاء
Kiswahili · Barawani
17 : 43

سُبۡحَٰنَهُۥ وَتَعَٰلَىٰ عَمَّا يَقُولُونَ عُلُوّٗا كَبِيرٗا

Subhanahu Wa Taa'la, Ametakasika na Ametukuka juu kabisa na hayo wanayo yasema.

Explanation & meanings · 1
  1. Mwenyezi Mungu ametakasika kabisa kama anavyo stahiki, na ametukuka aliye mkuu shani yake na yote wanayo dai kuwa wapo pamoja na Yeye miungu wengine.