Skip to content
الإسرَاء /

Aya 27

17 : 27

Aya 27 of الإسرَاء (17 : 27). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الإسرَاء Aya 111
Sura · الإسرَاء
Kiswahili · Barawani
17 : 27

إِنَّ ٱلۡمُبَذِّرِينَ كَانُوٓاْ إِخۡوَٰنَ ٱلشَّيَٰطِينِۖ وَكَانَ ٱلشَّيۡطَٰنُ لِرَبِّهِۦ كَفُورٗا

Hakika wabadhirifu ni ndugu wa Mashet'ani. Na Shet'ani ni mwenye kumkufuru Mola wake Mlezi.

Explanation & meanings · 1
  1. Kwani wabadhirifu (watumiaji ovyo) wenzao ni Mashetani, wanapokea minong'ono yao wanapo wachochea wafanye ufisadi na watumie kwa uharibifu. Na ni mtindo wa Shetani daima kukufuru neema ya Mola wake Mlezi. Na sahibu yake ni hali kadhaalika.