Skip to content
الإسرَاء /

Aya 20

17 : 20
الإسرَاء Aya 111
Sura · الإسرَاء
Kiswahili · Barawani
17 : 20

كُلّٗا نُّمِدُّ هَٰٓؤُلَآءِ وَهَٰٓؤُلَآءِ مِنۡ عَطَآءِ رَبِّكَۚ وَمَا كَانَ عَطَآءُ رَبِّكَ مَحۡظُورًا

Wote hao tunawakunjulia - hawa na hao - katika neema za Mola wako Mlezi. Wala neema za Mola wako Mlezi hazizuiliki.

Explanation & meanings · 1
  1. Na Sisi tutawakunjulia neema za Mola wako Mlezi hapa duniani makundi yote mawili, pindi wakichukua khatua ya kufikia hayo. Wala neema za Mola wako Mlezi hatonyimwa yeyote, akiwa Muumini au akiwa kafiri, maadamu wakishika njia za kuzitafuta.