17 : 10
وَأَنَّ ٱلَّذِينَ لَا يُؤۡمِنُونَ بِٱلۡأٓخِرَةِ أَعۡتَدۡنَا لَهُمۡ عَذَابًا أَلِيمٗا
Na yakwamba wale wasio iamini Akhera tumewaandalia adhabu chungu.
Explanation & meanings · 1
- Na hakika wale ambao hawaiamini Akhera tumewatengenezea adhabu ya machungu makali.