Skip to content
الحِجر /

Aya 56

15 : 56

Aya 56 of الحِجر (15 : 56). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الحِجر Aya 99
Sura · الحِجر
Kiswahili · Barawani
15 : 56

قَالَ وَمَن يَقۡنَطُ مِن رَّحۡمَةِ رَبِّهِۦٓ إِلَّا ٱلضَّآلُّونَ

Akasema: Na nani anaye kata tamaa na rehema ya Mola wake Mlezi ila wale walio potea?

Explanation & meanings · 1
  1. Ibrahim akasema: Mimi sikati tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu. Kwani hawakati tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu ila walio potea wasio utambua utukufu wake na uwezo wake.