Skip to content
الحِجر /

Aya 34

15 : 34
الحِجر Aya 99
Sura · الحِجر
Kiswahili · Barawani
15 : 34

قَالَ فَٱخۡرُجۡ مِنۡهَا فَإِنَّكَ رَجِيمٞ

(Mwenyezi Mungu) akasema: Basi toka humo, kwani hakika wewe ni maluuni!

Explanation & meanings · 1
  1. Mwenyezi Mungu Mtukufu akasema: Ukiwa wewe umekuwa a'asi, umetokana na ut'iifu wangu, basi tokelea mbali kwenye Bustani hii! Kwani hakika wewe umefukuzwa kwenye rehema yangu pahala pa hishima.