15 : 31
إِلَّآ إِبۡلِيسَ أَبَىٰٓ أَن يَكُونَ مَعَ ٱلسَّٰجِدِينَ
Isipo kuwa Iblisi. Yeye alikataa kuwa pamoja na walio sujudu.
Explanation & meanings · 1
- Lakini Iblisi alijivuna na akakataa kuwa pamoja na Malaika waliyo it'ii amri ya Mwenyezi Mungu.