Skip to content
الحِجر /

Aya 27

15 : 27
الحِجر Aya 99
Sura · الحِجر
Kiswahili · Barawani
15 : 27

وَٱلۡجَآنَّ خَلَقۡنَٰهُ مِن قَبۡلُ مِن نَّارِ ٱلسَّمُومِ

Na majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto.

Explanation & meanings · 1
  1. Na makhaluku wengine ni majini, ambao tuliwaumba mbele, alipo umbwa asili yake Iblisi kutokana na moto mkali mno unao toka katika tundu za mwili wa mtu.