14 : 29
جَهَنَّمَ يَصۡلَوۡنَهَاۖ وَبِئۡسَ ٱلۡقَرَارُ
Nayo ni Jahannamu! Wataingia, Maovu yaliyoje makaazi hayo!
Explanation & meanings · 1
- Na nyumba hiyo ndiyo Jahannamu wakiteswa kwa uvukuto wake. Na makaazi maovu mno ni Jahannamu.
Aya 29 of إبراهِيم (14 : 29). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
جَهَنَّمَ يَصۡلَوۡنَهَاۖ وَبِئۡسَ ٱلۡقَرَارُ
Nayo ni Jahannamu! Wataingia, Maovu yaliyoje makaazi hayo!