Skip to content
الرَّعد /

Aya 34

13 : 34

Aya 34 of الرَّعد (13 : 34). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الرَّعد Aya 43
Sura · الرَّعد
Kiswahili · Barawani
13 : 34

لَّهُمۡ عَذَابٞ فِي ٱلۡحَيَوٰةِ ٱلدُّنۡيَاۖ وَلَعَذَابُ ٱلۡأٓخِرَةِ أَشَقُّۖ وَمَا لَهُم مِّنَ ٱللَّهِ مِن وَاقٖ

Wanayo adhabu katika maisha ya dunia, na adhabu ya Akhera hapana shaka ina mashaka zaidi. Na wala hawatakuwa na wa kuwalinda na Mwenyezi Mungu.

Explanation & meanings · 1
  1. Duniani watapata adhabu kwa kushindwa na kutekwa na kuuliwa, ikiwa Waumini watakwenda katika njia ya Haki. Na hapana shaka adhabu ya Akhera itayo wateremkia ni kali zaidi na ya kudumu zaidi. Hapana wa kuwakinga na adhabu ya Mwenyezi Mungu Mwenye uwezo wa kila kitu.