Skip to content
يُوسُف /

Aya 95

12 : 95

Aya 95 of يُوسُف (12 : 95). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

يُوسُف Aya 111
Sura · يُوسُف
Kiswahili · Barawani
12 : 95

قَالُواْ تَٱللَّهِ إِنَّكَ لَفِي ضَلَٰلِكَ ٱلۡقَدِيمِ

Wakasema: Wallahi! Hakika bado ungali katika upotovu wako wa zamani.

Explanation & meanings · 1
  1. Wale ahali zake wakamjibu jawabu kali wakiapa kwa Mwenyezi Mungu kuwa yeye yu ngali kuropokwa kwake na kupiswa kwake kwa uzee! Basi akajitayarisha alivyo jitayarisha kwa mapenzi yake yaliyo pita kiasi ya kumpenda Yusuf, na kuendelea kwake kumkumbuka na kutaraji kukutana naye.