Skip to content
هُود /

Aya 96

11 : 96
هُود Aya 123
Sura · هُود
Kiswahili · Barawani
11 : 96

وَلَقَدۡ أَرۡسَلۡنَا مُوسَىٰ بِـَٔايَٰتِنَا وَسُلۡطَٰنٖ مُّبِينٍ

Na hakika tulimtuma Musa pamoja na Ishara zetu na uthibitisho ulio wazi

Explanation & meanings · 1
  1. Na hakika tulimtuma Musa na tukamuunga mkono kwa miujiza yenye kuonyesha ukweli wake, na uthibitisho ulio wazi wenye nguvu juu ya nafsi.