Skip to content
يُونس /

Aya 91

10 : 91

Aya 91 of يُونس (10 : 91). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

يُونس Aya 109
Sura · يُونس
Kiswahili · Barawani
10 : 91

ءَآلۡـَٰٔنَ وَقَدۡ عَصَيۡتَ قَبۡلُ وَكُنتَ مِنَ ٱلۡمُفۡسِدِينَ

Ala! Sasa? Na hali uliasi kabla yake na ukawa miongoni mwa mafisadi!

Explanation & meanings · 1
  1. Mwenyezi Mungu hakukupokea kuamini huko kwa Firauni ambako alikuwa hana budi nako. Toba hiyo ilikuwa pale mauti yamekwisha mkabili, naye aliishi maisha yake yote katika kumuasi Mwenyezi Mungu, akifisidi nchi, naye akafa kafiri wa kutupwa!