Skip to content
يُونس /

Aya 69

10 : 69
يُونس Aya 109
Sura · يُونس
Kiswahili · Barawani
10 : 69

قُلۡ إِنَّ ٱلَّذِينَ يَفۡتَرُونَ عَلَى ٱللَّهِ ٱلۡكَذِبَ لَا يُفۡلِحُونَ

Sema: Hao wanao mzulia uwongo Mwenyezi Mungu hawatafanikiwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Ewe Mtume! Waambie: Hao wanao mtungia Mwenyezi Mungu uwongo, na wanadai kuwa ana mwana, hawatafanikiwa milele.