Skip to content
يُونس /

Aya 41

10 : 41

Aya 41 of يُونس (10 : 41). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

يُونس Aya 109
Sura · يُونس
Kiswahili · Barawani
10 : 41

وَإِن كَذَّبُوكَ فَقُل لِّي عَمَلِي وَلَكُمۡ عَمَلُكُمۡۖ أَنتُم بَرِيٓـُٔونَ مِمَّآ أَعۡمَلُ وَأَنَا۠ بَرِيٓءٞ مِّمَّا تَعۡمَلُونَ

Na wakikukanusha wewe, sema: Mimi nina a'mali yangu, na nyinyi mna a'mali yenu. Nyinyi hamna jukumu kwa niyatendayo, wala mimi sina jukumu kwa myatendayo.

Explanation & meanings · 1
  1. Na ewe Mtume! Wakishikilia kuendelea na kukukadhibisha baada ya kuwadhihirikia wazi dalili za Unabii wako, basi wewe waambie: Hakika mimi nitalipwa kwa a'mali yangu,(vitendo vyangu); na nyinyi mtalipwa kwa a'mali yenu kama itakavyo kuwa. Na mimi naendelea na Wito wangu, na nyinyi hamtahisabiwa kwa a'mali yangu, wala mimi sitahisabiwa kwa a'mali yenu. Basi nyinyi fanyeni mpendavyo. Na Mwenyezi Mungu atamlipa kila mtu kwa aliyo yachuma.