Skip to content

Punguzeni sharubu na mfuge ndevu

Imepokewa kutoka kwa Bin Omar -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake na baba yake- kutoka kwa Mtume Rehema na amani ziwe juu yake-amesema:

"Punguzeni sharubu na mfuge ndevu".

«أحْفُوا الشَّوَارِبَ وأَعْفُوا اللِّحَى».

Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake
Sahihi
Ufafanuzi

Anaamrisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kupunguza sharubu na zisiachwe bali zipunguzwe, na azidi kupunguza zaidi. Na pamoja na hilo anaamrisha kufuga ndevu na kuziacha zikichanua.

Maana ya Maneno

...:

Katika Faida za Hadithi

Uharamu wa kunyoa ndevu.

Rejea

Swahiih Al Bukhaariy (7/ 160) (5892).

Swahiih Muslim (1/ 222) (259).

Zaidi (13)

رياض الصالحين (ص338) (1205).

بهجة الناظرين شرح رياض الصالحين.

لسليم الهلالي (2/ 345).

نزهة المتقين شرح رياض الصالحين.

لمصطفى الخِن (2/ 853).

شرح رياض الصالحين.

لابن عثيمين (5/ 228).

كنوز رياض الصالحين.

لمجموعة من الباحثين (14/ 507).

تطريز رياض الصالحين.

لفيصل آل مبارك (ص676).

منار القاري شرح مختصر صحيح البخاري.

لحمزة محمد قاسم (5/ 236).